Joshua 12:8
8 ▼
wafalme jumla yao ilikuwa thelathini na mmoja.
▼In order to format the table contained in this verse correctly, it has been necessary to move the content of some adjacent verses into it.
,
bnchi ya vilima, shefela, upande wa magharibi, Araba, materemko ya milima, jangwa, na Negebu; nchi za Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi):9 cmfalme wa Yeriko | mmoja |
mfalme wa Ai (karibu na Betheli) | mmoja |
10 dmfalme wa Yerusalemu | mmoja |
mfalme wa Hebroni | mmoja |
11 emfalme wa Yarmuthi | mmoja |
mfalme wa Lakishi | mmoja |
12 fmfalme wa Egloni | mmoja |
mfalme wa Gezeri | mmoja |
13mfalme wa Debiri | mmoja |
mfalme wa Gederi | mmoja |
14 gmfalme wa Horma | mmoja |
mfalme wa Aradi | mmoja |
15 hmfalme wa Libna | mmoja |
mfalme wa Adulamu | mmoja |
16 imfalme wa Makeda | mmoja |
mfalme wa Betheli | mmoja |
17 jmfalme wa Tapua | mmoja |
mfalme wa Heferi | mmoja |
18 kmfalme wa Afeki | mmoja |
mfalme wa Lasharoni | mmoja |
19 lmfalme wa Madoni | mmoja |
mfalme wa Hazori | mmoja |
20 mmfalme wa Shimron-Meroni | mmoja |
mfalme wa Akishafu | mmoja |
21 nmfalme wa Taanaki | mmoja |
mfalme wa Megido | mmoja |
22 omfalme wa Kedeshi | mmoja |
mfalme wa Yokneamu katika Karmeli | mmoja |
23 pmfalme wa Dori (katika Nafoth-Dori) ▼ ▼Au: katika miinuko ya Nafoth-Dori. | mmoja |
mfalme wa Goimu katika Gilgali | mmoja |
24 rmfalme wa Tirsa | mmoja |
Copyright information for
SwhNEN