Joshua 19:17-23
Mgawo Kwa Isakari
17 aKura ya nne ikamwangukia Isakari, ukoo kwa ukoo. 18 bEneo lao lilijumuisha:Yezreeli, Kesulothi, Shunemu, 19Hafaraimu, Shioni, Anaharathi, 20 cRabithi, Kishioni, Ebesi, 21 dRemethi, En-Ganimu, En-Hada na Beth-Pasesi. 22 eMpaka ule ukagusa Tabori, Shahasuma na Beth-Shemeshi, na ukaishia kwenye Yordani. Ilikuwa miji kumi na sita, pamoja na vijiji vyake.
23 fMiji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa urithi wa kabila la Isakari, ukoo kwa ukoo.
Copyright information for
SwhNEN