Joshua 21:27
27 aKoo za Walawi za Wagershoni walipewa:
kutoka nusu ya kabila la Manase,
Golani katika Bashani (mji mkuu wa makimbilio kwa yeyote aliyeshtakiwa kwa mauaji) na Beeshtera, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji miwili;
Copyright information for
SwhNEN