Judges 16:5
5 aViongozi wa Wafilisti wakamwendea yule mwanamke na kumwambia, “Umbembeleze ili upate kujua siri za nguvu zake zilizo nyingi na jinsi tutakavyoweza kumshinda ili tuweze kumfunga na kumtiisha. Nasi kila mmoja wetu tutakupa shekeli 1,100 za fedha.” ▼▼Shekeli 1,100 za fedha ni sawa na kilo 13 za fedha.
Copyright information for
SwhNEN