Judges 18:28
28Hapakuwa na yeyote wa kuwaokoa, kwa kuwa kulikuwa mbali sana na Sidoni na hawakuwa na ushirikiano na mtu mwingine yeyote. Mji ulikuwa kwenye bonde karibu na Beth-Rehobu.
Wadani wakaujenga upya huo mji na kuishi humo.
Copyright information for
SwhNEN