Judges 3:8
8 aHasira ya Bwana ikawaka dhidi ya Israeli, hivyo akawauza na kuwatia mikononi mwa Kushan-Rishathaimu mfalme wa Aramu-Naharaimu ▼▼Yaani Mesopotamia ya Kaskazini-Magharibi.
ambaye Israeli walikuwa chini yake wakimtumikia kwa muda wa miaka minane.
Copyright information for
SwhNEN