Lamentations 1:11


11 aWatu wake wote wanalia kwa uchungu
watafutapo chakula;
wanabadilisha hazina zao kwa chakula
ili waweze kuendelea kuishi.
“Tazama, Ee Bwana, ufikiri,
kwa maana nimedharauliwa.”
Copyright information for SwhNEN