Lamentations 1:12


12 a“Je, si kitu kwenu, ninyi nyote mpitao kando?
Angalieni kote mwone.
Je, kuna maumivu kama maumivu yangu
yale yaliyotiwa juu yangu,
yale Bwana aliyoyaleta juu yangu
katika siku ya hasira yake kali?
Copyright information for SwhNEN