Lamentations 2:7


7 aBwana amekataa madhabahu yake
na kuacha mahali patakatifu pake.
Amemkabidhi adui kuta
za majumba yake ya kifalme;
wamepiga kelele katika nyumba ya Bwana
kama katika siku ya sikukuu iliyoamriwa.
Copyright information for SwhNEN