Leviticus 13:2
2 a“Iwapo mtu yeyote atakuwa na uvimbe au upele au alama nyeupe juu ya ngozi yake ambayo yaweza kuwa ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, ▼▼Ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, yaani ukoma, ni neno lililotumika kwa Kiebrania kueleza magonjwa mbalimbali ya ngozi ambayo si lazima yawe ni ukoma halisi.
ni lazima aletwe kwa Aroni kuhani ama kwa wanawe, kuhani mmojawapo.
Copyright information for
SwhNEN