Luke 22:1-2
Yuda Akubali Kumsaliti Yesu
(Mathayo 26:14-16; Marko 14:10-11)
1 aWakati huu Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, iitwayo Pasaka, ilikuwa imekaribia. 2 bViongozi wa makuhani na walimu wa sheria walikuwa wanatafuta njia ya kumuua Yesu, kwa sababu waliwaogopa watu.
Copyright information for
SwhNEN