Malachi 1:2-3
Yakobo Alipendwa, Esau Alichukiwa
2 a Bwana asema, “Nimewapenda ninyi.”“Lakini ninyi mnauliza, ‘Wewe umetupendaje?’ ”
Bwana asema, “Je, Esau hakuwa ndugu yake Yakobo? Hata hivyo nimempenda Yakobo, 3 blakini nikamchukia Esau, nami nimeifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa jangwani.”
Copyright information for
SwhNEN