Mark 13:24-25
Kuja Kwa Mwana Wa Adamu
(Mathayo 24:29-31; Luka 21:25-28)
24 a “Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki,“ ‘jua litatiwa giza
nao mwezi hautatoa nuru yake;
25 b nazo nyota zitaanguka kutoka angani,
na nguvu za anga zitatikisika.’
Copyright information for
SwhNEN