Mark 15:21
Kusulubiwa Kwa Yesu
(Mathayo 27:32-44; Luka 23:26-43; Yohana 19:17-27)
21 aMtu mmoja kutoka Kirene, jina lake Simoni, baba yao Aleksanda na Rufo, alikuwa anapita zake kuingia mjini kutoka shamba, nao wakamlazimisha kuubeba ule msalaba.
Copyright information for
SwhNEN