Mark 16:19-20
[Yesu Apaa Kwenda Mbinguni
(Luka 24:50-53; Matendo 1:9-11)
19 aBaada ya Bwana Yesu kusema nao, alichukuliwa juu mbinguni na kuketi mkono wa kuume wa Mungu. 20 bKisha wanafunzi wake wakatoka, wakahubiri kila mahali, naye Bwana akatenda kazi pamoja nao na kulithibitisha neno lake kwa ishara zilizofuatana nalo.]
Copyright information for
SwhNEN