Mark 9:14
Mvulana Mwenye Pepo Mchafu Aponywa
(Mathayo 17:14-21; Luka 9:37-43)
14 aWalipowafikia wale wanafunzi wengine, wakawakuta wamezungukwa na umati mkubwa wa watu na baadhi ya walimu wa sheria wakibishana nao.
Copyright information for
SwhNEN