Matthew 10:34-36
Sikuleta Amani, Bali Upanga
(Luka 12:51-53; 14:26-27)
34 a “Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. 35 bKwa maana nimekuja kumfitini“ ‘mtu na babaye,
binti na mamaye,
mkwe na mama mkwe wake;
36 c nao adui za mtu watakuwa
ni wale watu wa nyumbani kwake.’
Copyright information for
SwhNEN