‏ Matthew 11:12-13

12 aTangu siku za Yohana Mbatizaji hadi sasa, Ufalme wa Mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wanauteka. 13 bKwa maana manabii wote na Sheria walitabiri mpaka wakati wa Yohana.
Copyright information for SwhNEN