Matthew 12:33
Mti Na Matunda Yake
(Luka 6:43-45)
33 a “Ufanye mti kuwa mzuri, nayo matunda yake yatakuwa mazuri. Au ufanye mti kuwa mbaya, na matunda yake yatakuwa mabaya. Kwa maana mti hutambulika kwa matunda yake.
Copyright information for
SwhNEN