Matthew 12:40
40 aKwa maana kama vile Yona alivyokuwa ndani ya tumbo la nyangumi ▼▼Nyangumi ni samaki mkubwa sana.
kwa siku tatu, usiku na mchana, vivyo hivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika moyo wa nchi siku tatu, usiku na mchana.
Copyright information for
SwhNEN