Matthew 23:6-7

6 aWanapenda kukalia viti vya heshima katika karamu, na vile viti maalum sana katika masinagogi. 7 bHupenda kusalimiwa masokoni na kutaka watu wawaite ‘Rabi.’
Rabi maana yake Bwana, Mwalimu.


Copyright information for SwhNEN