Matthew 26:47
Yesu Akamatwa
(Marko 14:43-50; Luka 22:47-53; Yohana 18:3-12)
47 aAlipokuwa bado anazungumza, Yuda, mmoja wa wale Kumi na Wawili, akafika. Alikuwa amefuatana na umati mkubwa wa watu wenye panga na marungu, waliokuwa wametumwa na viongozi wa makuhani na wazee wa watu.
Copyright information for
SwhNEN