Matthew 27:59-61
59Yosefu akauchukua mwili wa Yesu, akaufunga katika kitambaa cha kitani safi, 60 ana kuuweka katika kaburi lake mwenyewe jipya, alilokuwa amelichonga kwenye mwamba. Kisha akavingirisha jiwe kubwa katika ingilio la kaburi, akaenda zake. 61Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikuwepo mahali pale, wakiwa wameketi mkabala na kaburi.
Copyright information for
SwhNEN