Matthew 8:28
Wawili Wenye Pepo Waponywa
(Marko 5:1-20; Luka 8:26-39)
28 aWalipofika ngʼambo katika nchi ya Wagerasi, watu wawili waliopagawa na pepo wachafu walitoka makaburini nao wakakutana naye. Watu hawa walikuwa wakali mno kiasi kwamba hakuna mtu aliyeweza kupita njia ile.
Copyright information for
SwhNEN