Nehemiah 6:1-2
Upinzani Zaidi Wakati Wa Ujenzi
1 aHabari zilipofika kwa Sanbalati, Tobia, Geshemu Mwarabu, na adui zetu wengine kwamba nimejenga tena ukuta na hakuna nafasi iliyobakia ndani mwake, ingawa mpaka wakati huo sikuwa nimeweka milango kwenye malango, 2 bSanbalati na Geshemu wakanitumia ujumbe huu: “Njoo, tukutane katika mojawapo ya vijiji katika nchi tambarare ya Ono.”Lakini walikuwa wakikusudia kunidhuru.
Copyright information for
SwhNEN