‏ Numbers 23:7-8

7 aNdipo Balaamu akasema ujumbe wake:

“Balaki amenileta kutoka Aramu,
mfalme wa Moabu kutoka milima ya mashariki.
Akasema, ‘Njoo, unilaanie Yakobo;
njoo unishutumie Israeli.’
8 bNitawezaje kuwalaani,
hao ambao Mungu hajawalaani?
Nitawezaje kuwashutumu
hao ambao Bwana hakuwashutumu?
Copyright information for SwhNEN