Numbers 35:19-21
19Mlipiza kisasi cha damu atamuua muuaji; wakati akikutana naye, atamuua. 20 aIkiwa mtu ana chuki ya siku nyingi na mwenzake akamsukuma au akamtupia kitu kwa kukusudia naye akafa, 21 bau ikiwa katika uadui akampiga ngumi naye akafa, mtu yule sharti atauawa; yeye ni muuaji. Mlipiza kisasi cha damu atamuua muuaji atakapokutana naye.
Copyright information for
SwhNEN