Numbers 6:6-7
6 aKwa kipindi chochote cha kujitenga kwa ajili ya Bwana hatakaribia maiti. 7 bHata kama baba yake mwenyewe au mama au kaka au dada akifa, hatajinajisi mwenyewe kwa taratibu za ibada kwa ajili yao, kwa sababu ishara ya kujiweka wakfu kwake kwa Mungu ipo katika kichwa chake.
Copyright information for
SwhNEN