Proverbs 16:17


17 aNjia kuu ya wanyofu huepuka ubaya;
yeye aichungaye njia yake, huchunga maisha yake.
Copyright information for SwhNEN