Proverbs 19:13


13 aMwana mpumbavu ni maangamizi ya babaye,
naye mke mgomvi ni kama kutonatona kusikoisha.
Copyright information for SwhNEN