Proverbs 19:25


25 aMpige mwenye mzaha, naye mjinga atajifunza busara,
mkemee mwenye ufahamu naye atapata maarifa.
Copyright information for SwhNEN