Proverbs 2:16-19


16 aItakuokoa pia kutokana na mwanamke kahaba,
kutokana na mke aliyepotoka mwenye maneno
ya kushawishi kutenda ubaya,
17 baliyemwacha mwenzi wa ujana wake
na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu.
18 cKwa maana nyumba yake huelekea kwenye kifo
na mapito yake kwenye roho za waliokufa.
19 dHakuna yeyote aendaye kwake akarudi,
au kufikia mapito ya uzima.
Copyright information for SwhNEN