Proverbs 23:10-11


10 aUsisogeze jiwe la mpaka wa zamani
wala kunyemelea kwenye mashamba ya yatima,
11 bkwa kuwa Mtetezi wao ni mwenye nguvu,
atalichukua shauri lao dhidi yako.
Copyright information for SwhNEN