Proverbs 23:13-14


13 aUsimnyime mtoto adhabu,
ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa.
14 bMwadhibu kwa fimbo
na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini.
Mautini maana yake ni Kuzimu.

Copyright information for SwhNEN