Proverbs 23:15-16


15 aMwanangu, kama moyo wako una hekima,
basi moyo wangu utafurahi,
16 butu wangu wa ndani utafurahi,
wakati midomo yako
itakapozungumza lililo sawa.
Copyright information for SwhNEN