Proverbs 23:26-28


26 aMwanangu, nipe moyo wako,
macho yako na yafuate njia zangu,
27 bkwa maana kahaba ni shimo refu
na mwanamke mpotovu ni kisima chembamba.
28 cKama mnyangʼanyi, hungojea akivizia,
naye huzidisha wasio waaminifu miongoni mwa wanaume.
Copyright information for SwhNEN