Proverbs 24:17-18


17 aUsitazame kwa kufurahia adui yako aangukapo;
wakati ajikwaapo,
usiruhusu moyo wako ushangilie.
18 b Bwana asije akaona na kuchukia
akaiondoa ghadhabu yake mbali naye.
Copyright information for SwhNEN