Proverbs 3:3


3 aUsiache kamwe upendo na uaminifu vitengane nawe;
vifunge shingoni mwako,
viandike katika ubao wa moyo wako.
Copyright information for SwhNEN