Proverbs 3:31-32


31 aUsimwonee wivu mtu mwenye jeuri
wala kuchagua njia yake iwayo yote,
32 bkwa kuwa Bwana humchukia mtu mpotovu,
lakini siri yake iko kwa mwenye haki.
Copyright information for SwhNEN