Proverbs 3:9-10


9 aMheshimu Bwana kwa mali zako na
kwa malimbuko ya mazao yako yote;
10 bndipo ghala zako zitakapojaa hadi kufurika,
viriba vyako vitafurika kwa mvinyo mpya.
Copyright information for SwhNEN