Proverbs 30:5-6


5 a“Kila neno la Mungu ni kamilifu;
yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia.
6 bUsiongeze kwenye maneno yake,
ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo.
Copyright information for SwhNEN