Proverbs 4:20-22


20 aMwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia;
sikiliza kwa makini maneno yangu.
21 bUsiruhusu yaondoke machoni pako,
yahifadhi ndani ya moyo wako;
22 ckwa sababu ni uzima kwa wale wanaoyapata
na afya kwa mwili wote wa mwanadamu.
Copyright information for SwhNEN