Proverbs 6:16-19


16 aKuna vitu sita anavyovichukia Bwana,
naam, viko saba vilivyo chukizo kwake:
17 bmacho ya kiburi,
ulimi udanganyao,
mikono imwagayo damu isiyo na hatia,
18 cmoyo uwazao mipango miovu,
miguu iliyo myepesi kukimbilia uovu,
19 dshahidi wa uongo ambaye humwaga uongo,
na mtu ambaye huchochea fitina kati ya ndugu.
Copyright information for SwhNEN