Proverbs 7:26-27
26 aAliowaangusha ni wengi;
aliowachinja ni kundi kubwa.
27 bNyumba yake ni njia kuu iendayo kaburini, ▼▼Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol.
ielekeayo chini kwenye vyumba vya mauti.
Copyright information for
SwhNEN