Proverbs 8:27-29
27 aNilikuwepo alipoziweka mbingu mahali pake,wakati alichora mstari wa upeo wa macho
juu ya uso wa kilindi,
28 bwakati aliweka mawingu juu
na kuziweka imara chemchemi za bahari,
29 cwakati aliiwekea bahari mpaka wake
ili maji yasivunje agizo lake,
na wakati aliweka misingi ya dunia.
Copyright information for
SwhNEN