Psalms 102:24-27
24 aNdipo niliposema:“Ee Mungu wangu, usinichukue katikati ya siku zangu;
miaka yako inaendelea vizazi vyote.
25 bHapo mwanzo uliweka misingi ya dunia,
nazo mbingu ni kazi ya mikono yako.
26 cHizi zitatoweka, lakini wewe utadumu,
zote zitachakaa kama vazi.
Utazibadilisha kama nguo
nazo zitaondoshwa.
27 dLakini wewe, U yeye yule,
nayo miaka yako haikomi kamwe.
Copyright information for
SwhNEN