Psalms 105:5-6


5 aKumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya,
miujiza yake na hukumu alizozitamka,
6 benyi wazao wa Abrahamu mtumishi wake,
enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
Copyright information for SwhNEN