Psalms 106:16-18


16 aKambini walimwonea wivu Mose,
na pia Aroni aliyekuwa amewekwa wakfu kwa Bwana.
17 bArdhi ilifunguka ikawameza Dathani,
ikawazika Abiramu na kundi lake.
18 cMoto uliwaka katikati ya wafuasi wao,
mwali wa moto uliwateketeza waovu.
Copyright information for SwhNEN