Psalms 116:3


3 aKamba za mauti zilinizunguka,
maumivu makuu ya kuzimu yalinipata,
nikalemewa na taabu na huzuni.
Copyright information for SwhNEN