Psalms 118:10-12


10 aMataifa yote yalinizunguka,
lakini kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali.
11 bWalinizunguka pande zote,
lakini kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali.
12 cWalinizunguka kama kundi la nyuki,
lakini walikufa haraka kama miiba iteketeayo;
kwa jina la Bwana naliwakatilia mbali.
Copyright information for SwhNEN